Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 73 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa San Mames Barria. Real Madrid inafikisha pointi 77 baada ya kucheza mechi 34 na sasa inaendelea kuongoza La Liga kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Barcelona ambao usiku huu wanamenyana na Villarreal Uwanja wa de la Cerámica PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment