• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 03, 2020

  YANGA SC WAFUNGUA BANDA SABA SABA, KUNA VITU KIBAO HADI JEZI ZA MSIMU HUU

  Mpenzi wa Yanga SC, Ntunga Nyenye ameweka rekodi ya kuwa shabiki wa kwanza kupiga picha na hazina ya mataji ya klabu hiyo kwenye banda la maonyesho ya Biashara ya Kimataifa, maarufu kama Saba Saba
  Ndani ya banda la Yanga SC zinapatikana bidhaa mbalimbali zenye nembo ya klabu zikiwemo jezi,
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAFUNGUA BANDA SABA SABA, KUNA VITU KIBAO HADI JEZI ZA MSIMU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top