• HABARI MPYA

  Saturday, July 25, 2020

  PSG WAIPIGA AS SAINT-ETIENNE 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA UFARANSA

  Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe la Ufaransa baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Saint-Etienne bao pekee la Neymar da Silva Santos Junior dakika ya 14 katika mchezo wa fainali Uwanja wa Stade de France Jijini Paris 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WAIPIGA AS SAINT-ETIENNE 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top