Winga chipukizi, Bukayo Saka akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 43, kabla ya Alexandre Lacazette kufunga la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Molineux. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 49 na kupanda nafasi moja hadi ya saba, sasa ikizidiwa pointi moja na Wolves baada ya timu zote kucheza mechi 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment