Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 39, kufuatia David Silva kufunga la kwanza dakika ya sita katika ushindi wa 2-1 dhdi ya AFC Bournemouth ambayo bao lake lilifungwa na David Brooks dakika ya 88 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Manchester City inafikisha pointi 75 baada ya kucheza mechi 36 na kuendelea kukamata nafasi ya pili, wakiizidi pointi 13 Chelsea inayoshika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment