Tammy Abraham akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 71 ikiwalza wenyeji, Crystal Palace 3-2 usiku wa jana katika mchezo wa Ligi ya England Uwanja wa Selhurst Park. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Olivier Giroud dakika ya sita na Christian Pulisic dakika ya 27, wakati ya Crystal Palace yalifungwa na Wilfried Zaha dakika ya 34 na Christian Benteke dakika ya 72. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 34 na kupanda nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi sita na Manchester City wanaoshika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jets Rumors: Chiefs FA Mecole Hardman Agrees to Contract Amid Aaron Rodgers Buzz
-
If Aaron Rodgers ultimately gets traded to the New York Jets, he'll have
plenty of weapons at his disposal. The team reportedly signed free-agent
wide…
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment