• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 03, 2020

  RAMOS AIFUNGIA KWA PENALTI REAL MADRID YAICHAPA GETAFE 1-0

  Nahodha Sergio Ramos akikimbia kishujaa kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid kwa penalti dakika ya 79 kufuatia Dani Carvajal kuangushwa na Mathias Olivera kwenye boksi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano. Kwa ushindi huo, Real Madrid wanafikisha pointi 74 sasa wakiwazidi pointi nne, mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 33, wakati Getafe inabaki nafasi ya sita na pointi zake 52 za mechi 33 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAMOS AIFUNGIA KWA PENALTI REAL MADRID YAICHAPA GETAFE 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top