• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 12, 2020

  TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA ARSENAL 2-1 LONDON

  Toby Alderweireld akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 81 ikiwalaza Arsenal 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Arsenal ilitangulia kwa bao la Alexandre Lacazette dakika ya 16, kabla ya Son Heung-Min kuisawazishia Tottenham dakika ya 19 na kwa ushindi huo, Spurs inafikisha pointi 52 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya nane, sasa ikiwazidi The Gunners pointi mbili baada ya timu zote kucheza mechi 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA ARSENAL 2-1 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top