• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2020

  ARSENAL YAISHUSHA DARAJA WATFORD BAADA YA KUICHAPA 3-2

  Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika ya tano kwa penalti kufuatia Craig Dawson kumuangusha Alexandre Lacazette na dakika ya 33 akimalizia pasi ya mfungaji wa bao la pili, Kieran Tierney dakika ya 24 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Mabao ya Watford yamefungwa na Troy Deeney dakika ya 43 na Danny Welbeck dakika ya 66 na matokeo hayo wanashuka daraja baada ya kumaliza na pointi 34 katika nafasi ya 19 wakiungana na AFC Bournemouth na Norwich City kuteremka.
  Arsenal inamaliza nafasi ya nane na pointi zake 56, ikizidiwa tatu na zote, Tottenham Hotspur iliyomaliza ya sita na Wolverhampton ya saba 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAISHUSHA DARAJA WATFORD BAADA YA KUICHAPA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top