• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 11, 2020

  REAL MADRID YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI NA KUUKARIBIA UBINGWA

  Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo Alaves, mabao ya Karim Benzema dakika ya 11 kwa penalti baada ya Ximo Navarro kumchezea rafu Ferland Mendy na Marco Asensio dakika ya 50 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 80 na kuendelea kuongoza La Liga, ikiwazidi pointi nne mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI NA KUUKARIBIA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top