• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 17, 2020

  RASHFORD, MARTIAL WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA PALACE 2-0

  Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 45 kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Selhurst Park  Jijini London. Kwa ushindi huo, Man United wanafikisha pointi 62, ingawa wanabaki nafasi ya tano wakizidiwa wastani wa mabao tu na Leicester City inayoshika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 36 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD, MARTIAL WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA PALACE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top