• HABARI MPYA

  Monday, July 20, 2020

  MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAMALIZA LA LIGA KWA USHINDI WA 5-0

  Lionel Messi (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Deportivo Alaves usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Ansu Fati dakika ya 24, Luis Suarez dakika ya 44 na Nelson Semedo dakika ya 57 na kwa ushindi huo, Barca inafikisha pointi baada ya kucheza mechi 38 na kuendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Real Madrid wenye pointi     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAMALIZA LA LIGA KWA USHINDI WA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top