• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 23, 2020

  GREENWOOD AISAWAZISHIA MAN U YATOA SARE NA WEST HAM

  Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 51 ikitoa sare ya 1-1 na West Ham United iliyotangulia kwa bao la Michail Antonio kwa penalti dakika ya 45 na ushei katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Sare hiyo inaifanya Manchester United ifikishe pointi 63 na kupanda hadi nafasi ya tatu sasa ikiizidi wastani wa mabao tu Chelsea inayoangukia nafasi ya nne baada ya timu zote kucheza mechi 37, wakati West Ham United inafikisha pointi 38 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 15 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GREENWOOD AISAWAZISHIA MAN U YATOA SARE NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top