• HABARI MPYA

  Thursday, July 23, 2020

  LIVERPOOL WAKABIDHIWA KOMBE BAADA YA KUIPIGA CHELSEA 5-3

  Wachezaji wa Liverpool wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa jana kufuatia mchezo dhidi ya Chelsea Uwanja wa Anfield ambao Wekundu hao walishinda 5-3. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Naby Keita dakika ya 23, Trent Alexander-Arnold dakika ya 38, Roberto Firmino dakika ya 54, Georginio Wijnaldum dakika ya 43 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 84, wakati ya Chelsea yalifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45 na ushei, Tammy Abraham dakika ya 61 na Christian Pulisic dakika ya 73. Liverpool inafikisha pointi 96 baada ya mchezo huo wa 37, sasa ikiwazidi pointi 18 Manchester City wanaofuatia 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WAKABIDHIWA KOMBE BAADA YA KUIPIGA CHELSEA 5-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top