Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus, yote kwa penalti dakika za 55 na 90 ikilazimishwa sare ya 2-2 na Atalanta ambayo mabao yake yalifungwa na Daniel Zapata dakika ya 16 na Ruslan Malinovskiy dakika ya 80 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino. Pamoja na sare hiyo, Juventus inaendelea kuongoza Serie A kwa pointi zake 76, ikifuatiwa na Lazio 68 na Atalanta 67 baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NPC trains field functionaries for 2023 trial census in Taraba
-
From Sylvanus Viashima, Jalingo The National Population Census (NPC),
flagged off the training of 104 field functionaries for the 2023 trial
census exerc...
Dakika 14 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni