• HABARI MPYA

  Thursday, July 09, 2020

  SUAREZ AIFUNGIA BAO PEKEE BARCA IKIFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA

  Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 56 ikiwalaza Espanyol 1-0 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou ambao kila limpoteza mchezaji mmoja kwa kadi nyekundu. Barcelona inafikiisha pointi 76 baada ya kucheza mechi 35, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya Real Madrid yenye pointi moja zaidi na mechi mkononi, wakati Espanyol inaendelea kushika mkia na pointi zake 24 za mechi 35 sasa 
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AIFUNGIA BAO PEKEE BARCA IKIFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top