David McGoldrick akipongezwa na wachezaji wenzake wa Sheffield United baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za 18 na 77 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Chelsea, bao lingine likifungwa na Oli McBurnie dakika ya 33 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane. Kwa ushindi huo, Sheffield United inafikisha pointi 54 baada ya kucheza mechi 35 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya sita, ikiwazidi pointi mbili Wolverhampton Wanderers, wakati Chelsea inabaki nafasi ya tatu na pointi zake 60 za mechi 35 sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment