Nyota Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la pili la Liverpool limefungwa na kinda Curtis Jones dakika ya 89 na kwa ushindi huo, Liverpool ambao tayari ni mabingwa, wanafikisha pointi 89 baada ya kucheza mechi 33, wakati Aston Villa inabaki nafasi ya 19 na pointi zake 27 baada ya kucheza mechi 33 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghana goalie Lawrence Ati Zigi handed three game ban in Switzerland
-
Black Stars goalkeeper Lawrence Ati Zigi has been handed a three game ban
after seeing red in St Gallen's game against FC Zurich. The Ghana
goalkeeper kic...
Dakika 47 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni