• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 11, 2020

  VIDAL AIPIGIA BAO PEKEE BARCELONA YAILAZA REAL VALLADOLID 1-0

  Arturo Vidal akipogezwa na Lionel Messi baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 15 ikiwalaza wenyeji, Real Valladolid 1-0 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrilla. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 79 baada ya kucheza mechi 36, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya Real Madrid wanaoendelea kuongoza kwa pointi moja zaidi wakiwa pia wana mechi moja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIDAL AIPIGIA BAO PEKEE BARCELONA YAILAZA REAL VALLADOLID 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top