• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 06, 2020

  MORRISON ALIVYOKWEA 'PIPA' MAPEMA LEO KWENDA KUIONGEZEA NGUVU YANGA KWENYE MECHI DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMATANO KAITABA

  Kiungo mshambuliaji Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison akiwa kwenye ndege ya shirika la Tanzania (ATCL) mapema leo kwa safari ya Bukoba kwenda kuiongezea nguvu timu kwenye mchezo  wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORRISON ALIVYOKWEA 'PIPA' MAPEMA LEO KWENDA KUIONGEZEA NGUVU YANGA KWENYE MECHI DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMATANO KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top