• HABARI MPYA

  Saturday, July 11, 2020

  SIMBA QUEENS JANA IMEIBEBESHA YANGA PRINCESS 5-1 MECHI YA LIGI YA WANAWAKE UHURU

  Wachezaji wa Simba Queens wakifurahia ushindi wa 5-1 dhidi ya Yanga Princess kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba Queens yalifungwa na Mwanahamisi Omary 'Gaucho' dakika ya 32 na 75, Opa Clement dakika ya 65 na 82 na Joel Bukuru dakika ya 69, wakati bao pekee la Yanga Princess lilifungwa na Joel Nesri dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS JANA IMEIBEBESHA YANGA PRINCESS 5-1 MECHI YA LIGI YA WANAWAKE UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top