• HABARI MPYA

  Saturday, July 11, 2020

  RODRIGUEZ AISAWAZISHIA BURNLEY YATOA SARE NA LIVERPOOL 1-1 ANFIELD

  Jay Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Burnley bao la kusawazisha dakika ya 69 katika sare ya 1-1 na Liverpool iliyotangulia kwa bao la Andy Robertson dakika ya 34 Uwanja wa Anfield. Kwa sare hiyo, Liverpool ambao ni mabingwa tayari wanafikisha pointi 93 baada ya kucheza mechi 35, wakati Burnley inafikisha pointi 50 baada ya kucheza mechi 35 pa na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RODRIGUEZ AISAWAZISHIA BURNLEY YATOA SARE NA LIVERPOOL 1-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top