Olivier Giroud akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 28 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Watford, mabao mengine yakifungwa na Willian dakika ya 43 kwa penalti na Ross Barkley dakika ya 90 na ushei kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea inafikisha pointi 57 baada ya ushindi huo na kurejea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Manchester United baada ya timu zote kucheza mechi 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment