• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 10, 2020

  HARUNA NIYONZIMA NA MOHAMED BANKA WOTE WAFANYA MAZOEZI LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAPILI TAIFA

  Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini na timu yake leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumapili wiki hii dhidi ya watani wa jadi, Simba SC   
  Kiungo mwingine aliyekuwa majeruhi, Mohamed Issa 'Banka' akiwa mazoezini leo Uwanja wa Kaitaba 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HARUNA NIYONZIMA NA MOHAMED BANKA WOTE WAFANYA MAZOEZI LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAPILI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top