• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 06, 2020

  BARCELONA YAAMSHA HASIRA, YAITANDIKA VILLAREAL 4-1 CERAMICA

  Wachezaji wa Barcelona kutoka kulia Lionel Messi, Luis Suarez na Antoine Griezmann wakipongezana baada ya ushindi wa 4-1dhidi ya Villareal kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana, Uwanja wa Ceramica. Mabao ya Barcelona yalifungwa na Pau Torres aliyejifunga dakika ya tatu, Luis Suarez dakika ya 20, Antoine Griezmann dakika ya 45 na Ansu Fati dakika ya 86, wakati la Villareal lilifungwa na Gerard Moreno dakika ya 14 na kwa ushindi huo Barca inafikisha pointi 73, sasa ikizidiwa pointi nne na vinara, Real Madrid baada ya wote kucheza mechi 34 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YAAMSHA HASIRA, YAITANDIKA VILLAREAL 4-1 CERAMICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top