Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 89 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na beki Mholanzi Virgil van Dijk dakika ya 38 na mshambuliaji Mbelgiji Divock Origi dakika ya 59 na kwa ushindi huo mabingwa hao wanamaliza na pointi 99 wakiwazidi pointi 18 Manchester City waliomaliza nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fans in Awe as Matthew Tkachuk, Flames Beat Connor McDavid, Oilers in Chaotic Game 1
-
The fifth-highest scor
Dakika 55 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni