• HABARI MPYA

  Tuesday, July 21, 2020

  SERGE WAWA PASCAL AKIONGOZA KIKOSI CHA SIMBA KWA SAFARI YA TANGA KUIVAA COASTAL UNION ALHAMISI MKWAKWANI

  Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Pascal Wawa akiwa amebeba Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wakati wa safari ya kwenda Tanga kwa ajili ya mechi dhidi ya wenyeji, Coastal Union Alhamsi Uwanja wa Mkwakwani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERGE WAWA PASCAL AKIONGOZA KIKOSI CHA SIMBA KWA SAFARI YA TANGA KUIVAA COASTAL UNION ALHAMISI MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top