• HABARI MPYA

  Friday, July 17, 2020

  MESSI AFUNGA LAKINI BARCELONA YACHAPWA 2-1 NYUMBANI

  Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa 2-1 na Osasuna kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou, hivyo kuvuliwa rasmi ubingwa kufuatia wapinzani wao, Real Madrid kushinda 2-1 dhdi ya Villarreal. Mabao ya Osasuna leo yamefungwa na Jose Arnaiz dakika ya 15 na Roberto Torres dakika ya 90 na ushei, wakati Messi alifunga la Barca dakika ya 62 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA LAKINI BARCELONA YACHAPWA 2-1 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top