• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2020

  CHELSEA YAFUZU LIGI YA MABINGWA BAADA YA KUICHAPA WOLVES 2-0

  Kinda wa England, Mason Mount akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Chelsea kabla ya Olivier Giroud kufunga la pili, yote katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza The Blues wakiichapa 2-0 Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijin London. Chelsea inafikisha pointi 66 na kumaliza nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu, ikizidiwa wastani wa mabao tu na Manchester Cty iliyomaliza nafasi ya tatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAFUZU LIGI YA MABINGWA BAADA YA KUICHAPA WOLVES 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top