• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 12, 2020

  BALAMA MAPINDUZI ALVYOJUMUIKA NA WENZAKE KAMBINI KUWATAKIA KILA LA HERI KUELEKEA KWENYE MCHEZO WA LEO TAIFA

  Kiungo majeruhi, Balama Mapinduzi alijumuika na wachezaji wenzake wa Yanga SC kambini kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mahasimu, Simba SC jioni leo
  Balama Mapinduzi aliyeumia wiki mbili zilizopita maumivu ambayo yatamuweka nje hadi msimu ujao, alipata chakula na wenzake na kuwatakia kila la heri kuelekea kwenye mchezo huo muhimu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALAMA MAPINDUZI ALVYOJUMUIKA NA WENZAKE KAMBINI KUWATAKIA KILA LA HERI KUELEKEA KWENYE MCHEZO WA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top