• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 03, 2020

  MAN CITY WAPOZA MACHUNGU YA UBINGWA, YAWAPIGA LIVERPOOL 4-0

  Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Liverpool, mabao ya Kevin de Bruyne kwa penalti dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 35, Phil Foden dakika ya 45 na Alex Oxlade-Chamberlain aliyejifunga dakika ya 66 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamsi Uwanja wa Etihad. Man City wanafikisha pointi 66 baada ya ushindi huo, sasa wakizidiwa pointi 20 na mabingwa wapya wa England, Liverpool wenye pointi 86 baada ya wote kucheza mechi 32 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAPOZA MACHUNGU YA UBINGWA, YAWAPIGA LIVERPOOL 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top