• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 10, 2020

  FERNANDES AVUNJA FEKODI YA RONALDO MANCHESTER UNITED

  Bruno Fernandes akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England mwezi Juni baada ya kukabdhiwa leo. Hiyo inakuwa tuzo ya pili kwa Fernandes aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 68 Januari kutoka Sporting ya kwao, Ureno baada ya kushinda pia Februari kabla ya Ligi kusimama kwa sababu ya maambukizi ya virusi vya corona. Fernandes anakuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester United kutwaa tuzo hiyo mara mbili mfululizo tangu Mreno mwenzake, Cristiano Ronaldo mwaka 2006 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FERNANDES AVUNJA FEKODI YA RONALDO MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top