• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 02, 2020

  SHOMARI KAPOMBE ALIPOFANYIWA VIPIMO LEO BAADA YA KUUMIA JANA KWENYE MECHI DHIDI YA AZAM FC TAIFA

  Daktari akimfanyia vipimo vya kina (MRI) beki wa Simba SC, Shomari Kapombe baada ya kuumia jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0 na Kapombe imeelezwa anaendelea vizuri
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHOMARI KAPOMBE ALIPOFANYIWA VIPIMO LEO BAADA YA KUUMIA JANA KWENYE MECHI DHIDI YA AZAM FC TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top