• HABARI MPYA

  Thursday, July 09, 2020

  MANCHESTER CITY YAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 5-0 ETIHAD

  Wachezaji wa Manchester City wakifurahia ushindi wa 5-0 dhidi ya Newcastle United usiku wa jana Uwanja wa Etihad, mabao ya Gabriel Jesus dakika ya 10, Riyad Mahrez dakika ya 21, Federico Fernandez aliyejifunga dakika ya 58, David Silva dakika ya 65 na Raheem Sterling dakika ya 90 na ushei. Kwa ushindi huo Manchester City inafikisha pointi 69, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Liverpool wenye pointi 92 baada ya wote kucheza mechi 34 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 5-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top