• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 12, 2020

  NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AMEFANYA MAZOEZI KIKAMILIFU KUELEKEA MECHI NA WATANI WA JADI, SIMBA LEO

  Kiungo na Nahodha wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi (wa pili kulia) aliyekuwa majeruhi tangu mwezi uliopita akiwa mazoezini na wenzake jana kuelekea mchezo wa leo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC
  Papy Kabamba Tshishimbi amefanya mazoezi kikamilifu kwa siku tatu kuelekea mchezo wa leo utakaofanyika Uwanja wa Taifa 
  Alijiunga na timu Alhamisi iliporejea kutoka Bukoba na kwa takriban wiki mbili alikuwa akifanya mazoez binafsi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AMEFANYA MAZOEZI KIKAMILIFU KUELEKEA MECHI NA WATANI WA JADI, SIMBA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top