• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 14, 2020

  OBAFEMI AISAWAZISHIA SOUTHAMPTON DAKIKA YA MWISHO, SARE 2-2

  Michael Obafemi akishangilia baada ya kuifungia Southampton bao la kusawazsha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Southampton lilifungwa na Stuart Armstrong dakika ya 12, wakati ya Manchester United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 20 na Anthony Martial dakika ya 23. Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 59, ingawa inabaki nafasi ya tano ikizidiwa wastani wa mabao na Leicester City baada ya wote kucheza mechi 35, wakati Southampton inabaki nafasi ya 12 na pointi zake 45 za mechi 35 pia 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OBAFEMI AISAWAZISHIA SOUTHAMPTON DAKIKA YA MWISHO, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top