Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United usiku wa leo kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA England Uwanja wa Wembley, London. Mabao ya Chelsea yalifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45 na ushei, Mason Mount dakika ya 46 na Harry Maguire aliyejifunga dakika ya 74, wakati la Manchester United limefungwa na Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 85 na sasa The Blues itakutana na Arsenal kwenye fainali Agosti 1, hapo hapo Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment