• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 31, 2020

  KIUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA

  Kiungo Zawadi Peter Mauya (katikati) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Peter Simon (kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said (kushoto) baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani hao akitokea Kagera Sugar ya Bukoba 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top