• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 11, 2020

  SIMON MSUVA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUJIWEKA FITI ZAIDI KWA AJILI YA LIGI YA MOROCCO


  Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El-Jadidi, Simon Happygod Msuva akiwa ameinua chuma kufanya mazoezi kujiandaa na Ligi Kuu ya Morocco inayotarajiwa kuanza tena mwishoni mwa mweszi huu baada ya kusimama tangu Machi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 
  Hapa Simon Msuva akiwa na Mtanzania mwenzake, beki Nickson Kibabage ambaye wanacheza naye timu hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUJIWEKA FITI ZAIDI KWA AJILI YA LIGI YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top