• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2020

  MAN CITY YAISINDIKIZA NORWICH CITY CHAMPIONSHIP NA 5-0

  Kevin de Bruyne akishangilia na David Silva (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika ya 45 na 90 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Norwich City ambao tayari wameshuka daraja kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 11, Raheem Sterling dakika ya 79 na Riyad Mahrez dakika ya 83 na kwa ushindi huo, timu ya Pep Guardiola inamaliza na pointi 81 katika nafasi ya pili, ikizidiwa pointi 18 na mabingwa, Liverpool 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAISINDIKIZA NORWICH CITY CHAMPIONSHIP NA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top