• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 06, 2020

  SIMON MSUVA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA LIGI KUU YA MOROCCO INAYOTARAJIWA KUREJEA JULAI 22

  Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akiwa mazoezini na klabu yake, Difaa Hassan El-Jadidi Jijini Casablanca wakijiandaa na Ligi Kuu ya Morocco inayotarajiwa kurejea Julai 22 baada ya kusimama tangu Machi kutokana na janga la virusi vya corona linalosababisha ugonjwa wa COVID 19   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA LIGI KUU YA MOROCCO INAYOTARAJIWA KUREJEA JULAI 22 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top