WACHEZAJI SIMBA WAKISHANGILIA KUITOA SC VILLA 2005 MWANZA
WACHEZAJI wa Simba SC wakishangilia baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya SC Villa ya Uganda kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Tusker Juni 28, mwaka 2005 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment