• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 03, 2020

  MANAHODHA JOHN BOCCO NA JUMA ABDUL NA MAKOCHA WAO WALIVYOZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO DAR KUELEKEA MECHI YAO KESHO

  Manahodha John Bocco wa Simba SC (kushoto) na Juma Abdul wa Yanga (kulia) katika mkutano maalum na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani hao wa jadi kuanzia Saa 11:45 jioni ya kesho Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
  Kocha wa Simba, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck (katikati) akizungumza jambo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo. Kulia n kocha wa Yanga Charles Boniface Mkwasa
  Sven Ludwig Vandenbroeck (kushoto) akiwa na Nahodha wake, John Bocco, Nahodha wa Yanga, Juma Abdul pamoja na kocha wa mahasimu wake, Charles Boniphace Mkwasa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANAHODHA JOHN BOCCO NA JUMA ABDUL NA MAKOCHA WAO WALIVYOZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO DAR KUELEKEA MECHI YAO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top