• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 03, 2020

  MAZOEZINI YA MWISHO LEO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MAHASIMU WAO WA JADI KESHO TAIFA

  Mshambulaji mpya, Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akimiliki mpira kwenye mazoezi ya Yanga SC Jijini Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya mahasimu, Simba SC Uwanja wa Taifa kuanzia Saa 11:45 jioni
  Beki mpya, Adeyoum Ahmed akiwa mazoezini leo Jijini Dar es Salaam
  Kiungo Mnyarwanda Patrick Sibomana akiwa mazoezini leo 
  Mshambuliaji mpya, Ditram Nchimbi akimilik mpira mazoezini leo 
  Kiungo aliyerejeshwa kikosini, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZINI YA MWISHO LEO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MAHASIMU WAO WA JADI KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top