• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 10, 2020

  LIVERPOOL YAMALIZA KWA SARE YA 1-1 NA MIDTJYLLAND ULAYA


  Liverpool imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Midtjylland katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa MCH Arena Jijini Herning. Mmisri Mohamed Salah alianza kuifungia Liverpool dakika ya kwanza kabla ya Alexander Scholz kuisawazishia Midtjylland kwa penalti dakika ya 62.
  Kwa matokeo hayo, Liverpool inamaliza na pointi 13, mbili zaidi ya Atalanta na zote zinakwenda Hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAMALIZA KWA SARE YA 1-1 NA MIDTJYLLAND ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top