• HABARI MPYA

  Thursday, December 24, 2020

  YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAADA YA SINGIDA UNITED KUSHUSHWA MADARAJA
  ADHABU ya Singida United inamaanisha kwamba, vigogo wenzao, Yanga SC wapita bila jashio Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAADA YA SINGIDA UNITED KUSHUSHWA MADARAJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top