TFF YASEMA WALIOSAJILIWA DIRISHA DOGO WAKIPEWA LESENI WANARUHUSIWA KUANZA KUCHEZA LIGI KUU
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili leo na kwamba wachezaji watakaokamilisha taratibu wanaweza kuanza kucheza mechi wikindi hii za Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
0 comments:
Post a Comment