• HABARI MPYA

  Friday, December 18, 2020

  KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE

  KIKOSI cha Simba SC kimewasili mjini Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo.


  Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Profesa Emmanuel Mbenna kwenye picha ya pamoja na viongozi, wachezaji na benchi la ufundi la Simba baada ya chakula cha mchana leo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top