• HABARI MPYA

    Monday, December 14, 2020

    SERENGETI BOYS WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA U-17, WAWACHAPA WENYEJI RWANDA 3-1 RUBAVU




    TANZANIA imeanza vyema michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Rwanda Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu. 
    Mabao ya Serengeti Boys leo yamefungwa na Kassim Yahya dakika ya 10 na Omar Abbas dakika ya 14 na 61, wakati la Rwanda limefungwa na Irihamye Eric kwa penalti dakika ya 18.
    Ikumbukwe bingwa wa CECAFA U17 atacheza fainali za AFCON U17 zitakazofanyika Julai mwakani nchini Morocco.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA U-17, WAWACHAPA WENYEJI RWANDA 3-1 RUBAVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top