• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2020

  USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC

  MWENYEKITI wa Bodi ya Simba, Mohammed 'Mo' Dewji ameposti picha ya beki wa Barcelona, Gerald Pique akiwa ameshika jezi yake ya klabu hiyo na kuambatanisha na ujumbe; "Ni fahari kuweza kujenga mahusiano na mchezaji wa aina yake. Tunaamini kuna mengi ambayo tutaweza kujifunza na atakayo tushauri yatakayoleta maendeleo ya mpira hususa kwa vijana,".
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top